gombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha
Katongolo Nkasi alipokuwa njiani akielekea Kilando Nkasi Kaskazini
kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM
leo Oktoba 10,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilando Nkasi
Kaskazini alipowasili katika Uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Mkoani
Rukwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi
CCM leo Oktoba 10,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilango Nkasi
Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa
akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika
uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa leo Oktoba
10,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...