Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha
Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye viwanja vya
Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 14,
2020 ili kuwahutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo
ili kumsikiliza
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi
CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa ameketi jukwaani akimsikiliza
maombi ya Mtume Boniface Mwamposa kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s
Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 14, 2020 ambako
anatarajia kuwahutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano
huo ili kumsikiliza.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia
Chama Cha Mapinduzi CCM Mama Janeth Magufuli akiwasili kwenye viwanja
vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba
14, 2020.
Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Shaikh Al Hadi Mussa akisoma dua katika
mkutano huo unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe
jijini Dar es salaam .
Msanii Stamina akifanya vitu vyake jukwaani katika mkutano wa kampeni
wa Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe
Magufuli katika mkutano unaofanyika leo kwenye viwanja vya Tanganyika
Parker’s Kawe jijini Dar es slaam
Mtume
Boniface Mwamposa akiombea mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia
chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano
unaofanyika leo kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar
es Salaam.
Vibe
la Wana CCM mkutano wa kampeni wa CCM Kawe jijini Dar es salaam katika
kampeni wa Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John
Pombe Magufuli katika mkutano unaofanyika leo kwenye viwanja vya
Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...