MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe DK.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi uliofanyika katika uwanja Skuli ya Micheweni Pemba na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar na Wagombea wote wa CCM.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Ubunge,Uwakilishi na Madiwani wa CCM wa Wilaya Micheweni katika mkutano wa kampeni ya CCM uliofanyika katika uwanja wa Skuli ya Michewni Mkoa wa Kaskazini Pemba
UMATI wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa kupitia CCM Mhe.Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi, uliofanyika katika Uwanja wa Micheweni Pemba leo 15/10/2020.
MGOMEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Micheweni Pemba na kuwaomba kura na kumuombea kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli na kuwaombea kura Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM.,(Picha na Ikulu)
MGOMBEA
Uwakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Micheweni Ndg.Shamata
Shaame Khamis, akizungumza kwa niaba ya Wagombea Uwawakilishi, Ubunge na
Udiwani wa CCM wa Wilaya ya Micheweni Pemba, uliofanyika uwanja wa
micheweni
NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza wakati
wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika
viwanja vya micheweni Wilaya ya Michewni Pemba.
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akifuatlia mkutano wa Kampeni
ya ya Uccm ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Mwinyi na
(kulia kwa Mama) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Ngozi
MWANACHAMA
wa Chama Cha Mapinduzi Kisiwani Pemba kutoka Kijiji cha Kizimbani
Ndg.Suleiman Abdall Ali, akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , akiwahutubia Wananchi wa Wilaya
ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wake wa kampeni
uliofanyika katika Uwanja wa Skuli ya
Sekondari Micheweni leo 15/10/2020
WANACHAMA
wa CCM Wilaya ya Michewwni Pemba wakishangilia katika mkutano wa
kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein
Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya
Sekondari Micheweni Pemba leo 15/10/2020
MWANACHAMA
wa Chama Cha Mapinduzi akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya CCM Mhe. Dk. Hussein Mwinyi wakati akihutubia katika mkutano
wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari
Micheweni leo 15/10/2020.
WAGOMBEA
wa Nafasi za Ubunge na Uwakilishi wa Wilaya ya Micheweni Pemba
wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni ya CCM uliofanyika katika
viwanja vya Skuli ya Sekondari Micheweni Pemba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...