Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.
Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wakazi wa Kiwengwa wakati akiomba ridhaa ya kupewa nafasi ya kuingoza nchi hiyo kupitia uchaguzi mkuu utakaaofanyika Oktoba 28, Mwaka huu, Mwinyi amehaidi kutatua changamoto za utalii na kuboresha mazingira ya biashara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...