Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi wakati akisikiliza hotuba ya mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati
walipokuwa wazungumza na Wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo
tarehe 07 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari
kutoka Tanzania na Malawi katika mkutano na Waandishi wa Habari mara
baada ya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa
Dkt. Lazarus McCarthy ChakweraRais
wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera
akizungumza na Wanahabari kutoka Tanzania na Malawi mara baada ya
mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...