
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed (kushoto) Daktari Dhamana Tamim Hamad Said na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (wa pilikushoto).[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said (kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kushota) Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib na Naibu katibu Mkuu Halima Maulid Salum.[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto uliofanyika leo (kulia) Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib.[Picha na Ikulu.]13/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said (kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali baada ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.



Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...