Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama
Marium Mwinyi na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali
Hassan Mwinyi kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Nyumba
za maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar leo.
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepa kama ishara ya ufunguzi
wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar leo,(kulia)
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi (wa tatu kulia) Waziri wa Fedha na
Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini
Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani.)
sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini
Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani.)
Binafsi wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba
za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,mgeni
rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani.)
Hassan Mwinyi alipokuwa akiwaslimia Wananchi wa Jimbo la Kwahani
pamoja na Viongozi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Nyumba za
Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za
ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar
uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed
Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia
CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwiny
Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akikabidhi funguo kwa Bw. Ali
Hamad Haji (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba
Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa
Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa
Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto)
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan
Juma
Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bibi
.Hamida Mwinyi Mmadi (wa pili kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi
waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za
Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili
kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na
(wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe.Mgeni Hassan Juma,
Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa
Bw.Abdi Ameir Ali (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa
Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji
Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto)
Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu
Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni
Hassan Juma. [Picha na Ikulu.]












Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...