Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akizungumza na Watoto mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akitoa sadaka kwa watoto mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(watatu kushoto,)akiimba na kusifu Pamoja na Kwaya ya Kanisa la Parokia ya Kiboje wakati wa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Wanakwaya baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi iliyofanyika leo katika Kanisa la Parokia ya Kiboje, iliyopo Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja. Kulia ni Paroko wa Parokia hiyo,Stephen Macha. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...