ASALAAM ALEYKUM
RATIBA YA BALOZI TAMBWE (MAAZISHI NI KESHO JUMANNE, SAA KUMI JIONI, MAKABURI YA KISUTU)
1. ASUBUHI MAPEMA, MWILI UTAPELEKWA KUOSHWA MSIKITI WA MAAMUR, UPANGA. 2. SAA NNE ASUBUHI, MWILI KUWASILI NYUMBANI MBEZI BEACH. 3. SAA NNE KUENDELEA, KISOMO KITAANZA MPAKA SAA SABA MCHANA. 4. SAA SABA, SWALA YA ADHUHUR. 5. BAADA YA SWALA, CHAKULA 6. SAA NANE NA NUSU, MWILI UTAPELEKWA MSIKITI WA MAAMUR KWA AJILI YA KUSWALIWA 7. SAA KUMI MAAZISHI MAKABURI YA KISUTU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...