Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni mjini
mkoani Singida wakati akitokea mkoani Tabora leo tarehe 31 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Manyoni mjini
mkoani Singida wakati akiondoka mara baada ya kuwahutubia leo tarehe 31 Januari
2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na watoto pichani ambao
majina yao (hayakupatikana mara moja) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa
Manyoni mjini mkoani Singida-PICHA NA IKULU.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...