Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasili katika
Uwanja wa ndege wa Geita kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi
Januari 14, 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na
Usalama wa Mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Geita
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi  na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na marubani na wafanyakazi wa ndege ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Hussein Ali Mwinyi  na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakilakiwa na
Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani baada ya
kushuka kutoka katika  ndege ya Shirika la Ndege la  Tanzania (ATCL)
iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Hussein Ali Mwinyi  na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiangaliwa ngoma za utamaduni wakiwa na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard
Kalemani baada ya kushuka kutoka katika  ndege ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika
kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021. (Picha na Ikulu.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...