Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakimsikiliza Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso akijibu hoja wakati wa kupokea maelezo kuhusu maudhui ya Sheria za usimamizi wa rasilimali za Maji, huduma za Maji Safi na Usafi wa mazingira katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akiongoza kikao cha pamoja cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji na viongozi kutoka taasisi za Wizara ya Maji wakati wa kupokea maelezo kuhusu maudhui ya Sheria za usimamizi wa rasilimali za Maji, huduma za Maji Safi na Usafi wa mazingira katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (wa pili kulia.)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...