Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge katika futari aliyowaandalia kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kushoto) na Mwenyekiti wa Bunge, Najma Murtaza Giga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kushoto), katika futari ambayo Waziri Mkuu aliwaandalia wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Aprili 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...