Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akipata maelezo kuhusu Maendeleo na Changamoto mbalimbali zinazoikabili Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr. Pius Kagoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza leo April 26,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na kusikiliza Changamoto mbalimbali kutoka kwa Wahudumu wa Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma wakati alipotembelea kwa kushitukiza katika Hospitali hiyo leo April 26,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...