
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi
mbalimbali waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 06 Aprili
2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa
Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili Zanzibar
leo tarehe 06 Aprili 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa
katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi
mara baada ya kuwasili Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021. PICHA NA
IKULU




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...