Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akifurahia Jambo na viongozi wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh Othman Ali Kaporo (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh Othman Ali Kaporo (wapili kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega.(PICHA NA OFISI YA BUNGE.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...