Madereva wa Maguta  wakiwa wamepaki kando ya  barabara ya Mandela leo Mei 31, 2021. jijini Dar es Salaam  wakibadilisha uzoefu wa kuendesha wakati wakisubiri wateja wa kuwabebea mizigo na kuipeleka sehemu mbalimbali za jiji kama  wanavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.) 
Mikokoteni ikiwa imepaki kwenye eneo la maegesho Tazara jijini Ilala, mkoani Dar es Salaam. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...