Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga, wakakiwa karibu na basi wakiwa wameshika bidhaa mbalimbali kama wanavyoonekana pichani kwaajili ya kuwauzia abiria walio ndani ya basi
katika Kituo Kikuu cha
Mabasi cha Magufuli Mbezi luis wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es eslaam leo Mei 29, 2021.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga wakiendelea na kazi ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es eslaam.
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga wakiwa nje ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es eslaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...