Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan
Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha
ya kumbukumbu na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The
Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno pamoja na Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima mara
baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...