Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana  alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili Pemba.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar, akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...