Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) walioongozwa na Rais wa Chama hiyo, Dkt. Edward Hosea (kushoto kwake) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hosea alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...