MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua hukumu ya kesi ya uchochezi  dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe na wenzake na kuamuru warejeshewe kiasi cha sh. Milioni 350 walicholipa kama faini.

Uamuzi huo umetolewa na Jaji Irvin Mgeta leo Juni 25,2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...