Baadhi ya Waislamu na Wananchi wa Kijiji cha Unguja Ukuu Kaepwani  Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa nasaha na kuwashukuru  Waumini hao mara baada ya kusali nao pamoja Sala ya Ijumaa katika Masjid Nour katika Kijiji hicho leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha na kuwashukuru Waislamu na Wananchi wa Unguja Ukuu Kaepwani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mara baada ya kusali nao pamoja Sala ya Ijumaa katika Masjid Nour   katika Kijiji hicho leo,[Picha na Ikulu] 18/06/2021.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...