Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mbeya ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
Askofu Gervas Nyaisonga mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu (TEC)
Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 25 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu
Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini mkoani Dar es Salaam leo
25 Juni, 2021.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini mkoani Dar es Salaam.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakiwa
wamesimama kushukuru mara baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Makao Makuu ya TEC Kurasini
Mkoani Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya
ambaye pia ni Rais wa TEC Askofu Gervas Nyaisonga mara baada ya kupiga picha za
kumbukumbu na Maaskofu wa TEC Kurasini mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...