RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Azimio la Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa la Kumpongeza kwa Kazi Kubwa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM,
akikabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Godfrey Chongolo
alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulishwa na Ujumbe wake
mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg.Daniel Godfrey Chongolo (kulia kwa Rais) alipofika jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za CCM, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...