Na Mwandishi wetu, Dar
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid leo Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, viongozi hao walijadili masuala ya kuimraisha uhusiano wa kidiplomasia, kuendeleza biashara na uwekezaji katika sekta za sekta za Madini, Utalii, pamoja na Mafuta na Gesi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiongea na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid yakiendelea
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula pamoja na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara pamoja na Ubalozi wa Qatar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...