Kamera ya Michuzi TV leo Ijumaa, Agosti 13, 2021 imenasa wajasiriamali
maarufu kama Machinga wakiandaa Viatu vyao katika kitu cha Daladala Feri jijini Ilala mkoa wa Dar es Salaam kama wanavyooneka pichani .(Picha na Emmanuel
Massaka wa Michuzi TV)
Wajasiriamali maarufu kama Machinga wanaopatikana katika kitu cha Daladala Feri wakiwavalisha viatu wateja wao wanaotoka
maneo mbalimbali ya mkoa wa Dar es Salaam kama wanavyoonekana pichani .(Picha na
Emmanuel Massaka wa Michuzi TV.)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...