Kamishna Msaidizi Idara ya ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Irene Rugemalila akiwasilisha mada kuhusu sera na sheria ya ubia baina ya sekta binafsi na sekta ya umma katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Bajeti kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.PICHA NA OFISI YA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...