Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua bweni, wakati alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, iliyopo Ruangwa, Mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua bwalo la chakula, wakati alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, iliyopo Ruangwa, Mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi kapteni wa sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, Mary Moses vifaa vya michezo wakati alipotembelea shule hiyo iliyopo Ruangwa, Mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua vifaa vya maabara alipotembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa, Mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi dada Mkuu wa sekondari ya wasichana ya Lucas Malia, Grace Joachim, vifaa vya michezo, wakati alipotembelea shule hiyo iliyopo Ruangwa, Mkoani Lindi, Agosti 20, 2021. Kulia ni Mwalimu Mkuu Gladnes Makongwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...