Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Jaji Mohamed Gwae, masuala mbalimbali ya adhabu mbadala na vifungo vya nje, leo Septemba 9, 2021, jijini Dodoma. Mwenyekiti huyo alifika ofisini kwa Waziri kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuiongoza Kamati hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi wa Wizara hiyo, Aloyce Musika.



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Jaji Mohamed Gwae (katikati), alipokuwa akizungumza kuhusu masuala mbalimbali utendaji kazi wa Kamati yake, leo Septemba 9, 2021, jijini Dodoma. Mwenyekiti huyo alifika ofisini kwa Waziri kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuiongoza Kamati hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi wa Wizara hiyo, Aloyce Musika.



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Uangalizi wa Wizara hiyo, Aloyce Msika (kulia), alipokuwa akimfafanulia jambo kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi wa Idara yake, leo Septemba 9, 2021, jijini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Jaji Mohamed Gwae, ambaye alifika ofisini kwa Waziri huyo kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuingoza Kamati hiyo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...