Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Juma Duni Haji akimtangaza mgombea Ubunge wa Chama hocho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde Muhammed Said Issa katika siku ya Mwisho ya kufunga kampeni hapo kwenye viwanja vya konde Polisi.
Wafuasi wa ACT wazalendo wakiunga mkono kumpigia kura Mgombea wao katika mkutano wa kufunga kampeni katika uchaguzi Mdogo Jimbo la Konde.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...