Mkurugenzi wa Masoko kutoka Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Masoud Alawi akikata keki katika sherehe za maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo katika jengo la Mariam Tower mtaa wa hsauri moyo jijini Dar es Salaam  ambapo katika kuadhimisha wiki hiyo kampuni hiyo ilitoa hati kwa wateja wao ambao wamekamilisha malipo , ambapo kampuni hiyo leo imekabidhi hati 15 kwa wateja wake 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Abdul Haleem Zahran akikabidhi hati kwa mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambao wamekamilisha malipo ya viwanja vinavyouzwa na kampuni hiyo.

Afisa Operesheni kutoka Kampuni ya Property International, George Obado akikabidhi kwa mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambae wamekabidhiwa leo katika makaomakuu ya ofsisi hizo yaliyopo Mariam Tower Shaurimoyo jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo na Masoko Ktoka kampuni ya Property International ,Khulayta Zahran, akikabidhi hati kwa mmoja wa wateja waliofika kuchukua hati zao leo .
Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania Bw. Abdul Haleem Zahran akizungumza na wateja waliopatiwa hati zao leo matra baada ya kukamilisha malipo ambapo kampuni hiyo leo imeweza kukabidhi hati 15 kwa wateja ambao wamekamilisha malipo yao ya Viwanja vinavyouzwa na kampuni hiyo.
Wateja wa kampuni ya Property international  wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupatiwa hati zao leo  
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...