RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Jeshi la Magereza baada ya kupokea salamu ya heshima alipowasili katika viwanja vya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Mkoa wa Morogoro, kwa ajili ya ufunguzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza leo 15-10-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M. Mzee (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martin Shengella na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Simbachawene.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M. Mzee (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martin Shengella na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Simbachawene.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Simbachawene,wakimsikilza Mhandisi wa Ujenzi Insp. Thomas Makoye Kazungu akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Morogoro.kabla ya kuuzindua mradi huo leo 15-10-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuuzindua Mradi wa Ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara Kingolwira Morogoro  na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George  Simbachawene na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, akitowa maelezo ya Mradi wa ujenzi wa Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-10-2021, katika gereza hilo Kingolwira Mkoani Morogoro.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, wakitembelea Ngome ya Gereza la Mkono wa Mara baada ya uzindua Mradi huo leo 15-10-2021 na (kushoto kwa Rais) Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martin Shegella.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Gereza la Mtego wa Simba Kingolwira Morogoro SP.Awazi D.Mwazembe akitowa maelezo ya Mradi huo wa Kiwanda cha Maziwa baada ya kuuzindua leo 15-10-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Viongozi wengine wakipiga makofi baada ya kuzindua Mradi wa Kiwanda cha Maziwa cha Kingolwira Milk Products Indastry  katika Gereza la Kingolwira Morogoro leo 15-10-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi. akizindua Mradi wa Jeshi la Magereza wa Nyumba za Makaazi ya Watumishi wa Mtego wa Simba Gereza la Kingolwira Morogoro na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe George Simbachawene.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akikata utepe kuzindua Mradi wa Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Gereza la Kingolwira Morogoro leo 15-10-2021 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe George Simbachawene na Mkewe Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Gereza la Mtego wa Simba Kingolwira Morogoro SP.Awazi D.Mwazembe, akitowa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makaazi kabla ya Uzinduzi huo uliofanyika leo 15-10-2021 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe George Simbachawene.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo la Mradi wa Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Martin Shegella.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Gereza la Mtengo wa Simba Kingolwira Morogoro SP.Awazi D.Mwazembe, akitowa maelezo wa Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto baada ya kulizindua leo 15-10-2021, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe George Simbachawene. 




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...