RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmin leo 8-10-2021, na kujumuima na Wauminin wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar
Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizia
hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid hiyo leo 8-10-2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...