Waziri wa Biashara za kimataifa na uwekezaji wa Ufaransa Franck Reister leo Oktoba 19 kupitia shirika la ndege la nchi hiyo la 'Air Fance Airline' amezindua rasmi safari za ndege kutoka Paris UfaransaZanzibar hadi Zanzibar ambapo huduma hiyo ilisitishwa kuanzia mwaka 1974 na kurejeshwa rasmi leo, Waziri Reister ameeleza kuwa huo ni mwendelezo wa kudumisha mahusiano bora baina ya Tanzania na Ufaransa katika masuala mbalimbali ya kijamii na kiuchumi.
Waziri wa Biashara za kimataifa na uwekezaji Ufaransa Franck Reister akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa 'Abeid Amani Karume International Airport,' Zanzibar.
Matukio mbalimbali ya uzinduzi rasmi wa safari za ndege kutoka Zanzibar hadi nchini Ufaransa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...