Picha mbalimbali zikionyesha maandamano katika siku ya mtoto wa kike duniani ambapo katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha yamefanyika kata ya Monduli juu kwa kuvikutanisha vituo saba vya shirika la Compassion International Tanzania (CIT).
“Kauli mbiu ya maadhimisho haya kitaifa ni ‘kizazi cha kidijitali, kizazi chetu’ Ikiikumbusha jamii kutoa haki sawa kwa watoto wote kwenye teknolojia ya kidijitali ili kuitumia kwa maendeleo na ustawi wao.”
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...