Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akingia Ikulu ya Port Louis kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho |
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe akisaini kitabu cha wageni kwenye Ikulu ya Port Louis. |
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Mauritius, Mhe. Prithvirajsing Roopun kwenye Ikulu ya Port Louis. |
Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare, Zimbabwe, Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akiwa katika mazungumzo na Rais wa Mauritius, Mhe. Prithvirajsing Roopun kwenye Ikulu ya Port Louis. Wawili hao walijadili masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Mauritius hususan katika sekta ya uwekezaji na biashara. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...