RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 19-11-2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa  Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid hiyo leo 19-11-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Salum Maridhia (hayupo pichani) akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja kumpa mkono wa pole kwa kufiwa na kaka yake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Bi Tereza Olbam Ali, alipofika nyumbani kwake miembeni kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...