Wananchi wa Wilaya ya Ubungo  wakipita karibu na lundo la takataka zilizoachwa bila ya kuondolewa kwenye Barabara ya Morongoro karibu na kituo cha daladala cha Ubungo  Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Wananchi wa  Wilaya ya Ubungo wakizikwepa takataka zilizoachwa bila ya kuondolewa jirani na kituo ya daladala ya Ubungo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...