Wananchi wakichagua vitu mbalimbali vya watoto wao kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Mwaka Mpya kama walivyokutwa na Camera yetu Michuzi TV kwenye mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Sehemu ya umatai wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Wanawake wakichagua nguo za watoto wao wa kike kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya mwaka Mpya kama walivyokutwa na Camera yetu ya Michuzi TV kwenye mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...