Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia njia ya mtandao  katika Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kwa mara ya kwanza wenye sura ya Kimataifa, wenye kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.(Picha na Ikulu)

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Vijana wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia kwa njia ya mtandao (hayupo pichani) mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Vijana mbalimbali, ukiwa na kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji kwa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.(Picha na Ikulu.)



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...