Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 21wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF),uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa  Tamisemi Ummy Mwaimu  akizungumza kuhusiana na  Sekta Binafsi kuwekeza katika maeneo ya vijijini  nchini kwa wafanyabiashara katika Mkutano Mkuu wa 21wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda na Biashara  akizungumza kuhusiana  wafanyabiashara katika Mkutano Mkuu wa 21wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uwekezaji nchini kwa wafanyabiashara katika Mkutano Mkuu wa 21wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uwekezaji Godfrey Mwambe akizungumza kuhusiana na Uwekezaji nchini kwa wafanyabiashara katika Mkutano Mkuu wa 21wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Taasisi  ya Sekta Binafsi Tanzania(TPSF) Angelina Angalula akizungumza kuhusiana na mchango wa Sekta Binafsi katika Mkutano  Mkuu wa 21 wa Taasisi hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanachama wa sekta binafsi  wakiwa katika Mkutano Mkuu wa 21 wa Taasisi ya  Sekta Binafsi Tanzania(TPSF)uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...