RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya
Kitaifa na Kimataifa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushuhudia uzinduzi wa matumizi
ya Mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege
ya “Fly Dubai” kutoka (UAE).(Picha na Ikulu)
MWANDISHI wa habari kutoka (BBC)
Bw.Aboubakar Famau akiuliza swali wakati wa mkutano uliowashirikisha
waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa
Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19,
pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na
Ikulu) MWANDISHI
wa habari kutoka Taifa leo Kenya (NMG) Bi. Mary Wangari akiuliza swali
wakati wa mkutano wao uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na
wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa matumizi
ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya
“Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na Ikulu)
WAANDISHI
wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,
wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume na
kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE ) ya kupimia UVIKO-19
pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) .(Picha na
Ikulu)
MWANDISHI wa habari kutoka Daily Nation / Business Daily Bw.Ochieng Oreyo akiuliza swali wakati wa mkutano wao uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...