Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Februari 23, 2022. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini,Dkt. Donald White.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Gregory Meeks zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro ambaye ni Kiongozi wa jumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Marekani, baada ya Waziri Mkuu kuzungumza na ujumbe huo kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam, Februari 23, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Februari 23, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...