Picha ya pamoja ya wadau mara baada ya mkutano wa kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 23, 2022. Aliyekaa katikati ni Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Eliakim Mtawa (kushoto) na Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kulia).
Afisa Miradi kutoka Shirika la AFRIYAN Tanzania, Bi. Jennifer Kayombo akichangia jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 23, 2022.
Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kushoto) akieleza jambo wakati wa mkutano huo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Eliakim Mtawa.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Eliakim Mtawa akizungumza katika kikao cha wadau walipokutana kwa lengo la kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 23, 2022.

Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb) akieleza jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 23, 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...