"NILIKUWA nikiishi katika Mji wa Mombasa ambapo nilikuwa mjane niliyefanikiwa kuwa na watoto wawili, kijana mtanashati ambaye alikuwa mwalimu katika kauti jirani ya Kilifi. 

"Binti yangu kando na kuwa alikuwa amefuzu katika Chuo Kikuu kwenye kozi ya uzamifu, alijitoza kwenye lindi la kujihusisha na biashara ya ngono jambo ambalo sikulifurahia kama mamake kwani nilijua uchungu wa kulea. 

"Mimi ndiye nilibaki kuwa kielelezo muhimu wa familia ile kwani mume wangu ambaye alikua marehemu aliwaacha wanawe wakiwa na umri mdogo zaidi hata wasimtambue kama babayao. Maisha hayakuwa magumu kwani nilikua mwalimu mstaafu na aliyestaafu na nilikuwa na marupurupu ya uzeeni yalikuwepo.

"Kwa hiyo maisha yalikuwa bado ni mteremko usio na vizuizi. Jambo moja tu ndilo lililonikosesha usingizi mimi na binti yangu ambaye alikuwa maadili yake yalikuwa potovu.Mara nyingi marafiki waliniambia kwamba binti yangu alikuwa akionekana kwenye ufuo wa bahari akiwa na raia wa ughaibuni wakila raha."anaeleza mwana Mama Salome Chooge kuhusu tabia alizokuwa nazo mtoto wake wa kike.

Anasema kutokana na tabia yake aliamua kumpa ndugu yake(Kaka yake) jukumu la kumsaka dadake kwani hali hiyo haikunipa hata lepe la usingizi kwa wakati mmoja. Pia anasema mwanaye alikuwa na tabia ya utoro hali iliyosababisha apate ugonjwa wa msukumo wa damu na kila alipofikiria matendo ya mwanaye alizirai.Kuzimia mara kwa mara akajikuta hositalini ndio makazi yake.

"Nilikumbwa na msongo wa mawazo kwani ilifikia hatua akabadilisha  nambari yake ya simu jambo lililofanya kuwa vigumu kuwasiliana naye. Nilifikiria ni nini nilichokua nimefanya ama nduguye alikuwa amemtendea kupelekea hali ile ya utoro. Niliwafahamisha maofisa wa polisi kupotea kwa mwanagu na hapo wakaanzisha uchunguzi kubaini alipokuwa.

"Lakini yote yaligonga mwamba kwani hamna hata habari njema niliyopata kuhusu kupatikana kwake hata kwa wakati mmoja. Nilifahamu fika alikuwa kwenye shughuli za biashara ya ngono na akiwa na miaka 19 alianza kuonesha kujihusisha na mambo ya anasa japo alikuwa mwanafunzi shupavu."

Anaongeza kwamba mara kwa mara alipokea habari mbaya kuhusu mwanake ,wengine walisema kuwa alikua ameaga dunia, wengine waliseme kuwa alikuwa kafungwa jela maisha, huku wengine wakisema kuwa alikua ameenda nchi za ughaibuni baada ya kupata mwanaume wa uzunguni. 

Hali hiyo ilimtia  wasiwasi kama mzazi na kwamba alikonda kutokana na kuwa na mawazo na hakujua aanzie wapi na aishie wapi."Nilikonda na kuwa na mawazo nisijue ningeanzia wapi. Nduguye alimtafuta kila sehemu kwa udi lakini yote yalikuwa kazi bure kwani hapakuwa na ishara yoyote kuwa angepatikana alipokua ametokomea. 

"Nilibakia kupiga moyo konde kwamba siku moja majaliwa ningempata. Alikuwa amepotea sasa kwa muda wa miaka mitano na iwapo angekuwa nyumbani tayari ningekuwa nahesabu wajukuu wawili hivi kwani alikuwa na umri wa miaka 22 tangu kupotea kwake.

"Ndugu zangu walinikemea na kuniita mchawi huku wakinisingizia kuwa nilichangia binamu yao kuwa mtoro na huo ulikuwa mwiba wa kujidunga. Mashemeji nao hawakubaki nyuma kwani walisema tangu bwanangu afariki nilikua nimebadilika na kuwa kikwazo kwa wana wangu jambo lililopeleka binamu yao kunitoroka kama mama,"anaeleza.

Anaongeza hali hiyo ilimfanya awe anabubujikwa machozi alipokuwa akimtazama picha za mwanaye. Kila usiku alipolala na alimkumbuka kumweka kwenye maombi ili kumwepusha na kifo pahali popote alipokua. Siku moja Valerie aliyekuwa rafiki yake  wa dhati alimwambia kuwa alikuwa na mwanga wa kunisaidia ili apate  kupata mwanaye.Hakuamini maneno yake kwa vyovyote. 

"Alipofika kwangu alinieleza kwamba daktari Kiwanga alikuwa mwana miti shamba katika eneo la Afrika Mashariki na kuwa angenisaidia kwa siku moja tu kupata mwana wangu. Sikusita na siku iliyofuatia tuliandamana naye hadi kwenye Ofisi za dakatri Kiwanga kwa ajili ya usaidizi.

" Baada ya muda mfupi nilihudumiwa huku daktari akinipa hakikisho mwanangu ningempata nyumbani. Nilifunga safari ya kurejea nyumbani na hapo nilipigwa na butwaa  kwani nilipofungua mlango nilipata mwanangu akiwa ameketi kochini. Sikuamini macho yangu kwani yote yalinijia kama ndoto,"amesema. 

Anaongeza kwa hakika Ama daktari Kiwanga alikuwa ni mtu aliyekuwa na ukweli katika kazi zake. Binti yangu alililia kwa furaha na kuomba msamaha tukiwa tumekumbatiana kwani ulikuwa tu ni mwanzo wa sherehe. Baada ya siku mbili hivi aliwaalika marafiki na ikawa mwamko mpya wa mwana mpotevu kurejea.

"Baada ya kurejea nyumbani na kuwa mwenye tabia njema alifanikiwa kupata kazi ya uzamifu kwenye kaunti ya Mombasa na baadaye akaolewa. Kwa kweli daktari Kiwanga ni tabibu wa kuaminika. Anasuluhisha migogoro ya mashamba, biashara zisizoleta mapato, shida za kifamilia na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee.

"Ndugu yangu sitaki kuwa mchoyo ,iwapo unataka kuwasiliana na Kiwanga anapatikana kwa namba ya simu +254 769404965 au unaweza kuwasiliana kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com kwani utakuwa mwanzo wa suluhu kwa matatizo yako. Pia unaweza temberea website yao www.kiwangadoctors.com kutambua mengi yanayowahusu."


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...