Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Leo anakumbuka siku ambayo Miaka nane
(8) alisimamishwa mbele ya Umma wa Wanachalinze kuwaomba wamuunge Mkono
yeye na Chama Chake -CCM ili kupata fursa kushirikiana nao kuleta
maendeleo na kutatua changamoto zinazotukabili.
Miaka
8 baadae mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali yanaonekana.
Anawashukuru sana kwa imani kubwa aliyoonyeshwa na Wananchi wa Jimbo
lake. #TupoPamojaSana #KaziInaendelea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...