Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Abuja wamewezesha Mazungumzo kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Port Hacourt cha Nigeria kwa ajili ya Kufufua mahusiano yaliyokuwepo miaka 1980 kwa ajili ya kutangaza na kufundisha lugha ya Kiswahili. 

Mazungumzo hayo yamefanyika tarehe Aprili 4, 2022, Jijini Dar es Salaam. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Port Hacourt na Ujumbe wake wako nchini Tanzania kwa ziara ya Kikazi kuanzia tar 4-9 Aprili 2022.





 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...