Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akimuelekeza jambo Meneja wa TARURA Wilaya ya Kishapu Mhandisi Willfred Gutta wakati akiendelea kukagua ujenzi wa Daraja la Soka Ipeja-Itilima linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Maoinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo alipokagua ujenzi wa daraji hilo ambalo limekamilika likigharimu zaidi ya shilingi milioni 500


Muonekano wa daraja la mto Soka linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima mkoani Shinyanga.





Meneja wa TARURA Wilaya ya Kishapu Mhandisi Willfred Gutta akisoma Taarifa ya ujenzi wa Daraja la Soka Ipeja-Itilima linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipomaliza kukagua ujenzi wa daraja hilo leo Mei 30,2022,. Daraja hilo ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 486.4 ambapo fedha zilizokuwa zimetengwa hadi kukamilisha kwa ujenzi huo ni shilingi 500.Daraja tayari limekamilika.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza wakarlti mara baada ya kukagua ujenzi wa Daraja la mto Soka Ipaja -Itilima.



Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mh. Boniface Ntondo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake mara baada ya ukaguzi wa daraja kufanyika. PICHA NA MICHUZI JR-MMG.


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na mbunge wa Jimbo la Kishapu Mh Boniface Ntondo wakati alipowasili kukagua ujenzi wa daraja la mto Soka Ipaja -Itilima ambalo limekamilika likigharimu zaidi ya shilingi milioni 500 katikati ni Joseph Mkude Mkuu wa wilaya ya Kishapu.

Katibu Mkuu wa Chama cha Maoinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akislimiana na Kada was CCM Ndugu Suleiman Nchambis wakati alipowasili kukagua ujenzi wa Daraja la mto Soka Ipaja -Itilima ambalo limekamilika likigharimu zaidi ya shilingi milioni 500.


Katibu Mkuu wa Chama cha Maoinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Kishapu Ndugu Joseph Mkude kabla ya kukagua ujenzi wa daraja la mto Soka Ipaja -Itilima ambalo limekamilika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...