Meneja
Raslimali Watu wa mgodi wa Bulyanhulu, Chrispin Ngwaji,akiongea katika
kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
(MoCU).
Kongamano
la kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa ajili ya
kuwajengea uwezo wa kupata ajira sambamba na kuchangamkia fursa
mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya
AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya madini ya Barrick kwa
kushirikiana na wadau mbalimbali limefanyika mwishoni mwa wiki katika
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Meneja
Raslimali Watu wa mgodi wa North Mara, Erick Wambura, akiongea katika
kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
(MoCU)
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
Baadhi ya wanafunzi wa MoCU katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa AIESEC Tanzania na Barrick wakati wa kongaman hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...